Join Our Team
Empower the next generation of educators. Discover a rewarding career at Singida Teachers Training College.
Open Positions
All applications must be submitted through an Ajira Market job-seeker account.
Apply only on Ajira Market
Create or sign in to your Ajira Market account, then apply for the role there. Singida TTC does not accept career applications on this website.
MAAFISA TAALUMA – ELIMU YA MASAFA
• Kuratibu shughuli za kitaaluma katika vituo. • Kusimamia usajili wa wanafunzi. • Kuratibu mitihani na tathmini.
WAKUFUNZI WA STASHAHADA YA UALIMU (DIPLOMA TUTORS)
● Kufundisha masomo ya Stashahada ya Ualimu kwa mujibu wa mtaala rasmi wa miaka mitatu. ● Kuandaa maandalizi ya somo (lesson plans), scheme of work na teaching materials kabla ya k...
MKUU WA CHUO, SINGIDA POLYTECHNIC
• Kuongoza chuo kwa kutoa dira, mwelekeo na usimamizi wa kimkakati. • Kusimamia ubora wa ufundishaji, ujifunzaji, tathmini na maendeleo ya mitaala. • Kusimamia utekelezaji wa sheri...
AFISA HUDUMA KWA WATEJA
• Kuhudumia wanafunzi na wadau. • Kujibu simu, WhatsApp, Email na mitandao ya kijamii. • Kushughulikia malalamiko.
AFISA UGAVI
• Kusimamia manunuzi yote ya Chuo. • Kuandaa mipango ya manunuzi. • Kusimamia mikataba ya wazabuni.
WARATIBU WA MIKOA (REGIONAL COORDINATORS)
● Kusimamia na kuratibu wakufunzi wote waliopangiwa kufanya kazi katika mkoa/kanda husika. ● Kuhakikisha vituo vya kazi vinapata mahitaji muhimu ya kufundishia (teaching resources)...
WATHIBITI UBORA WA ELIMU
• Kufanya ukaguzi wa ubora wa ufundishaji. • Kutembelea vituo vya masomo. • Kuandaa taarifa za tathmini.
AFISA UTUMISHI/ HR
-Kusimamia mchakato wa ajira kuanzia kutangaza nafasi za kazi hadi kuwapokea wafanyakazi wapya (recruitment & onboarding). -Kuandaa na kusimamia mikataba ya ajira, nyaraka za wafan...
MWALIMU WA LUGHA YA KICHINA
• Kufundisha Lugha ya Kichina. • Kuandaa vipindi na tathmini. • Kushiriki katika shughuli za kitaaluma
MKUU WA IDARA YA ELIMU YA MASAFA (E-Learning)
• Kusimamia shughuli zote za Idara ya Elimu ya Masafa. • Kuratibu vituo vya masomo nchini. • Kusimamia maandalizi ya ratiba, vifaa vya kujifunzia na tathmini. • Kusimamia Maafisa T...
MKUU WA IDARA YA TEHAMA
• Kusimamia mifumo yote ya TEHAMA ya Chuo. • Kusimamia Website, LMS, Servers na Network. • Kusimamia usalama wa taarifa. • Kuongoza timu ya TEHAMA. • Kubuni na kuendeleza mifumo ya...
MADEREVA
-Kufanya ukaguzi wa kila siku wa gari kabla ya kuanza safari. -Kuripoti hitilafu au matatizo ya gari mara moja kwa msimamizi. -Kutunza usafi wa gari ndani na nje. -Kuhakikisha nyar...
Why Work With Us?
We offer a vibrant academic environment, competitive benefits, and the opportunity to make a lasting impact on education in Tanzania.
Innovation in Teaching
Join a forward-thinking institution that embraces modern pedagogical approaches and technology in the classroom.
Collaborative Culture
Work alongside passionate educators and professionals who value teamwork, diversity, and mutual respect.
Professional Growth
We invest in our staff through continuous learning opportunities, workshops, and clear pathways for career advancement.